Ushauri wangu apige diploma za chuo cha madini (Dodoma), Acheki na watu wa Muhimbili kuna crtificate za famasia, nursing. Apitie DIT aaangalie course zitakazo mfaa. Tu kwa sababu alisoma masomo ya sayansi na ndo hayo kajitahidi

Haaa sikucheki vizuri kiongozi kumbe nyie lengo ni advance. Kwangu mimi ilikuwa ni yeye aweze kupita njia ya mkato mkuu Jeromy. Hapo ni lazima arudie somo moja ili aweze kuwa na C tatu kwenye kombi atakayo.
Kwa jinc matokeo ya mwaka huu yalivyokuwa mabaya huyo asubilie post yake ya kwenda advance pcb coz physics hana f bal ni d kwhyo nakupa 100% lazma aende advance

Nadhani hauko sahihi sana; anaweza kwenda form V, lakini ikifika wakati wa kutaka kwenda chuo kikuu atakwama, kwa sababu atakapojaza matokeo ya form IV ikaonekana hana c tatu computer itamtema tu, Ndiyo maana tunamshauri asome kwanza diploma halafu hiyo diploma ndiyo imuingize chuo kikuu.
Kumbuka inatakiwa ufaulu wa kidato cha nne kabla ya kidato cha sita, hivyo ukijifanya kwenda mbele ukafaulu form 6 kabla ya kurekebisha form IV computer inakutema na kuwezi kurudi nyuma ukafanya form IV