Jaza hyo form hapo

Huyu ni aina ya wale wazee wanaowachepukia watoto wao wa kike waliowazaa wenyewe!
 

Aweke na cv za binti yake kwanza,ikiambata na picha yake.
 
Dah, ikiwa hivi, wedding planners, wauza magauni ya harusi, wanaokodisha maukumbi watapata shida sana, itabidi wawasaidie Mabachela kufanya maandamano.
 
Uwiiii huyu baba hataki kumuoza binti yake kwa masharti hayooo????
 
Mimi baba yangu hakupenda ujinga wa kuingilia uhuru wa mtoto,alikuwa anashauri kisha anaacha maamuzi ufanye mwenywe,alikuwa ana msemo mmoja kwamba chochote ufanyacho utakula matunda ya uamuzi wako haijalishi yatakuwa mazuri au mabaya.

Una mzee mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…