U UGARI MAHARAGE Member Joined Sep 10, 2014 Posts 20 Reaction score 0 Sep 13, 2014 #1 Natokwa na jasho jingi kwapani wakati wote,naomba ushauri nifanyeje halitoa harufu.
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,467 Sep 13, 2014 #2 tatizo unakula sana UGARI MAHARAGE Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
K kakota JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 266 Reaction score 59 Sep 13, 2014 #3 Tumia Limau Bada Ya Kunyoa ,
K kazurikazuri JF-Expert Member Joined Aug 9, 2014 Posts 237 Reaction score 70 Sep 13, 2014 #4 Hahaaaa Eti anakula sana ugari maharage...kila ukimaliza kuoga sugulia limao ilo kwapa mijasho itapungua sana...ulete mrejeshoo
Hahaaaa Eti anakula sana ugari maharage...kila ukimaliza kuoga sugulia limao ilo kwapa mijasho itapungua sana...ulete mrejeshoo
U UGARI MAHARAGE Member Joined Sep 10, 2014 Posts 20 Reaction score 0 Sep 14, 2014 Thread starter #5 kazurikazuri said: Hahaaaa Eti anakula sana ugari maharage...kila ukimaliza kuoga sugulia limao ilo kwapa mijasho itapungua sana...ulete mrejeshoo Click to expand... limao, ndimu,hata ukoko wa ugali nimejaribu sana lakini hakuna nafuu yoyote,kwa habari ya kunyoa-huwa siruhusu hata unyele mmoja kuota..
kazurikazuri said: Hahaaaa Eti anakula sana ugari maharage...kila ukimaliza kuoga sugulia limao ilo kwapa mijasho itapungua sana...ulete mrejeshoo Click to expand... limao, ndimu,hata ukoko wa ugali nimejaribu sana lakini hakuna nafuu yoyote,kwa habari ya kunyoa-huwa siruhusu hata unyele mmoja kuota..
K kazurikazuri JF-Expert Member Joined Aug 9, 2014 Posts 237 Reaction score 70 Sep 14, 2014 #6 Mmh..umelogewa jasho nenda kwa mtaalamu kalumanzila atakusaidia labda
U UGARI MAHARAGE Member Joined Sep 10, 2014 Posts 20 Reaction score 0 Sep 14, 2014 Thread starter #7 kazurikazuri said: Mmh..umelogewa jasho nenda kwa mtaalamu kalumanzila atakusaidia labda Click to expand... ok,thanks for ur advice,but siamin kabisa katika USHIRIKINA!!
kazurikazuri said: Mmh..umelogewa jasho nenda kwa mtaalamu kalumanzila atakusaidia labda Click to expand... ok,thanks for ur advice,but siamin kabisa katika USHIRIKINA!!
wakalaoriflame Member Joined Aug 13, 2014 Posts 76 Reaction score 4 Sep 26, 2014 #8 UGARI MAHARAGE said: Natokwa na jasho jingi kwapani wakati wote,naomba ushauri nifanyeje halitoa harufu. Click to expand... Nakushauri utumie deodorants zetu za Oriflame utaepukana na tatizo hilo..huzuia jasho kutoka kwapani,,bei yake ni nafuu sh.6000/= karibu sana..piga 0655868643 utaletewa
UGARI MAHARAGE said: Natokwa na jasho jingi kwapani wakati wote,naomba ushauri nifanyeje halitoa harufu. Click to expand... Nakushauri utumie deodorants zetu za Oriflame utaepukana na tatizo hilo..huzuia jasho kutoka kwapani,,bei yake ni nafuu sh.6000/= karibu sana..piga 0655868643 utaletewa