Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,696 Reaction score 2,593 Jan 30, 2012 #1 biNu ni application ya simu ambayo inakuruhusu kutumia services nyingi za mtandaoni huku ikipunguza matumizai ya data, hivyo kuokoa gharama. Binu inapatikana katika simu nyingi ambazo ni feature phone au smartphone(Android & Blackberry) ila sio zote. (Almost any java phone manufactured after 2002 will work with biNu. (Minimum CLDC 1.1 and MIDP 2.0).) Baadhi ya services ni: Facebook Twitter Youtube biNu chat News Google translate. Dictionary nenda m.binu.com kwenye browser inayokuja na simu yako (Default browser, epuka opera au browser zengine za kuinstall). Taarifa kamili biNu - Download
biNu ni application ya simu ambayo inakuruhusu kutumia services nyingi za mtandaoni huku ikipunguza matumizai ya data, hivyo kuokoa gharama. Binu inapatikana katika simu nyingi ambazo ni feature phone au smartphone(Android & Blackberry) ila sio zote. (Almost any java phone manufactured after 2002 will work with biNu. (Minimum CLDC 1.1 and MIDP 2.0).) Baadhi ya services ni: Facebook Twitter Youtube biNu chat News Google translate. Dictionary nenda m.binu.com kwenye browser inayokuja na simu yako (Default browser, epuka opera au browser zengine za kuinstall). Taarifa kamili biNu - Download
S Sambuka JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 317 Reaction score 33 Jan 31, 2012 #2 Mi naona kama ni ngum bora wange2rudshia snaptu yetu,
IamError_D JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 441 Reaction score 117 Jan 31, 2012 #3 binu nlkuwa nayo tangu zaman sina mvuto wa muonekano wake... we nimbuzz
IamError_D JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 441 Reaction score 117 Jan 31, 2012 #4 Sambuka said: Mi naona kama ni ngum bora wange2rudshia snaptu yetu, Click to expand... yeah afu nasikia wamewauzia facebook...
Sambuka said: Mi naona kama ni ngum bora wange2rudshia snaptu yetu, Click to expand... yeah afu nasikia wamewauzia facebook...
S Sambuka JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 317 Reaction score 33 Feb 1, 2012 #5 Ndio! fb wameinunua wameniboa kwel yan wasione kitu, ilikua nzur kwa kuonesha kurasa za twitter
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,696 Reaction score 2,593 Feb 1, 2012 Thread starter #6 dezzle said: binu nlkuwa nayo tangu zaman sina mvuto wa muonekano wake... we nimbuzz Click to expand... Muonekano wake kweli ovyo, tumia biNu kama unataka kupunguza matumizi ya data tu, haina point nyingine.
dezzle said: binu nlkuwa nayo tangu zaman sina mvuto wa muonekano wake... we nimbuzz Click to expand... Muonekano wake kweli ovyo, tumia biNu kama unataka kupunguza matumizi ya data tu, haina point nyingine.
P PRINCE D Member Joined Aug 11, 2011 Posts 53 Reaction score 12 Feb 2, 2012 #7 mbona kila ukijaribu kuifungua inasema u have to set time and date while ziko okay?