marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,113
- 1,952
Didier zokora na yanga wapi na wapi mkuu!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli kama jinsi yanga wanavyommiss didier zokora, didier kavumbagu na said bahanuzi
Hongera mkuu kwa kuwakilisha, jana ULIKUW OT kumbe... dah.Hakuna mchezaji ulioumiza kama wa Eden Hazard kutoka Chelsea kwenda kwenye viunga vya Madridi,umeumiza mno
.
Ni shabiki gani leo wa Chelsea aliyesahau uwepo wake? Kila niliyemsikia pale OT alikuwa akinong'ona, daah! Hazard angekuwepo!!
.
Kuna wakati timu ilihitaji dribbling zake kuanzia kati kwenda mbele,kuanzia pembeni kulifuata goli. Chelsea ilikua imara sana ilipokuwa nae,mikimbio yake pale uwanjani inaogopesha mno,
Wakati mwingine spirit yake ya kupambana ilihamasisha wenzie na kufosi kutafuta goli.
.
Leo mabeki wa Utd walikosa zile thoruba zake,walikuwa wabunifu mno na hii ni kutokana na kukosa ghasia,
Nina hakika Hazard sio pengo kwa Chelsea pekee ila #epl nzima imepoteza mtu aliyejua kuutia chachandu utamu soka.
.
Kalamu yangu imeisha wino ila nenda Hazard uwe na msimu bora,tukutane UEFA
Zokora kumbe aliwahi kukipiga tz? Huyo zokora cjui wa wapi, me namjua mmoja tu wa spursNi kweli kama jinsi yanga wanavyommiss didier zokora, didier kavumbagu na said bahanuzi
Didier zokora aliwai kukipiga yanga mwishoni mwa miaka ya 80 pia ndio anashikilia rekodi ya mchezaji wa yanga aliyefunga magoli mengi kwa kichwaZokora kumbe aliwahi kukipiga tz? Huyo zokora cjui wa wapi, me namjua mmoja tu wa spurs
Ndiyo huyu jamaa aliwahi kucheza Tottenham au majina tu yafananaDidier zokora aliwai kukipiga yanga mwishoni mwa miaka ya 80 pia ndio anashikilia rekodi ya mchezaji wa yanga aliyefunga magoli mengi kwa kichwa
Ndiyo huyu jamaa aliwahi kucheza Tottenham au majina tu yafanana
David LUIZ NA HAZARD MAPENGO YAO KUZIBIKA SIO LEOHakuna mchezaji ulioumiza kama wa Eden Hazard kutoka Chelsea kwenda kwenye viunga vya Madridi,umeumiza mno
.
Ni shabiki gani leo wa Chelsea aliyesahau uwepo wake? Kila niliyemsikia pale OT alikuwa akinong'ona, daah! Hazard angekuwepo!!
.
Kuna wakati timu ilihitaji dribbling zake kuanzia kati kwenda mbele,kuanzia pembeni kulifuata goli. Chelsea ilikua imara sana ilipokuwa nae,mikimbio yake pale uwanjani inaogopesha mno,
Wakati mwingine spirit yake ya kupambana ilihamasisha wenzie na kufosi kutafuta goli.
.
Leo mabeki wa Utd walikosa zile thoruba zake,walikuwa wabunifu mno na hii ni kutokana na kukosa ghasia,
Nina hakika Hazard sio pengo kwa Chelsea pekee ila #epl nzima imepoteza mtu aliyejua kuutia chachandu utamu soka.
.
Kalamu yangu imeisha wino ila nenda Hazard uwe na msimu bora,tukutane UEFA
[emoji28][emoji28]Yule wa Tottenham aliiga jina la huyo wa yanga kama heshima na kuhusudu umahiri wake wa kufumania nyavu