January Makamba anasubiri kuingia Bungeni tu

ray jay

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,084
Reaction score
485

Mgombea Ubunge Jimbo la Bumbuli Ndugu January MAKAMBA alipozungumza na umati wa wakazi wa jimbo la bumbuli Mkoani TANGA. Kwa umati huo ni ishara tosha kua anasubiri tu kuingia bungeni kwani wapinzani wake hamna kitu.
 
Attachments

  • 20151006122625.jpg
    71.7 KB · Views: 178
Hayo ni mawazo yako ndugu, subiri uchaguzi ufanyike ndo uandike haya, huwezi ukatuaminisha kitu unachokiamini nasisi tukiamini. Pole sana
 
Hayo ni mawazo yako ndugu, subiri uchaguzi ufanyike ndo uandike haya, huwezi ukatuaminisha kitu unachokiamini nasisi tukiamini. Pole sana

hahaha, ushindi ushapatikana, siasa ni sayansi mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…