That was different. Hawa watanzania walikuwa wakila panya (na wengine viwavi jeshi), not out of choice, km eti ni chakula chao cha kimila; bali ilikuwa ni kutokana na ukosefu wa mlo.
Mwishoni mwa mwaka jana Wakenya fulani kutoka Turkana waliripotiwa kuwafanya mbwa kuwa kitoweo kutokana na baa la njaa, likawa ni trending topic humu. Watz hawangesita kutukumbusha hayo kila tukiweka topic nzuri kuhusu yanayojiri nchini Kenya. It's tit- for - tat baby. stop being a crybaby.