Wanajamii hz siku 2 zilizopia kuna posti mbili zilikuwa znasema,Nanunua kazi kwa sh.ml 1 na nyngne Nitakupa mishahara yangu ya miezi 3 nisaidie kupata kazi,jamani kwa mtazamo hv ni sahh kweli? maana hata kama ndo hv hz mishe c zifanyike chn chn?unamtangazia nani? na ndio maana wadau weng sikuona walikubal hl labda huko pm hv mnafanya hv then mkitapeliwa mtakuja hapa jf kulalamika? au hawa walikuwa wanatania? nawasilisha waungwana.