mjinishure
Member
- Oct 19, 2012
- 86
- 56
Natafuta kazi yoyote inayohusiana na maswala ya computer iwe ya muda mrefu au mfupi zote nipo tayari nina uzoefu wa kutosha katika maswala ya Graphics design,Data base design & development,Computer maintenance & repair,Data comunication &computer network,Website design & hosting na Advance Microsoft Office elimu yangu ni DIPLOMA YA ICT namba yangu ya sim ni 0652 591857 naishi kiwalani DSM msada na ushauri nimuhumu sana kwangu
gud idea bandugu Even me am iterested with this idea.. let share togethermdau usikate tamaa endelea kuomba Mungu kwan tupo wengi wenye hitaji kama lako ila ni muhimu pia ukangalia na upande wa pili hata wa kufungua kaofic kutokana na uzoefu ulio nao namini utafanikiwa muhimu kutafuta kampan km yako waweza hata kuniPM tupange mpango wa kutoka kama vijana fursa za kuajiriwa zimekua ngumu siku hizi.
gud idea bandugu Even me am iterested with this idea.. let share together
challenge iliyopo sisi ijana tunaanzaje bila ya kuwa enough capital mkuu..hapo ndipo mziki wa kujiajiri unakuwa mgumundio hivo mdau muhimu kujipanga tukiwa vijana kadhaa kama huyu hapa tutatoka tu ni mukakati na malengo ingawa hakuna mtaji
Natafuta kazi yoyote inayohusiana na maswala ya computer iwe ya muda mrefu au mfupi zote nipo tayari nina uzoefu wa kutosha katika maswala ya Graphics design,Data base design & development,Computer maintenance & repair,Data comunication &computer network,Website design & hosting na Advance Microsoft Office elimu yangu ni DIPLOMA YA ICT namba yangu ya sim ni 0652 591857 naishi kiwalani DSM msada na ushauri nimuhumu sana kwangu
Kama mnaweza, kuna kazi nyingi sana online, ila inahitaji juhidi sana, hasa wewe wa graphix ndio sana. Ingia website hii, www.odesk.com utaona. Sign up kwanza fanya test pale za profession yako, weka portfolio zako, work experience and education background. Sio kama online job zingine, hapo unaomba unafanya interview unakuwa hired ukifanikiwa. Kuna hourly job ndio nzuri. Jaribu