Jamani msaada wa chuo

TUTEER

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
161
Reaction score
33
Naomba kwa anayefahamu chuo cha afya kinachotoa mafunzo ya cheti ya unesi au maabara anipe mawasiliano yao na ikiwezekana ada zao,naomba chuo kiwe kmesajiliwa.Naomba msaada wana jf.
 
wahi udom kijana. wameanzisha dip na certificate.
 
kuna kingine kipo Tandika karibu na uwanja wa bandari college
kinaitwa dar es salaam health and allied science
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…