love peace
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 130
- 37
Kazi ya aina gani unatafuta?
Habari zenu wana JF
Jaman sijaelewa why inakuwa hivi wandugu.Yan nilipost hum ombi lang la kusaidiwa kazi yoyote cause maisha yamekuwa magumu jamani, lakini watu waliniahidi vingi halafu wananipotezea.
Jaman napata tabu msipende kuongopea wakati mtu anapata tabu. Jamani nisaidien kazi mwenzenu nateseka, nimeshatuma maombi hata mia yanafika na nimezunguka na bahasha had Dar nitaimaliza.
Nisaidieni jamani.
elimu yang ni chuo.lakin nahtaj kaz yoyote hata ya kuuza duka au restaurant.au kazi yoyote halali ndug yang.maisha yang ni magum sana.
I think hapo unakosea. What qualifications do you have? Ww unazunguruka tuu unashindwa kujinadi Graduate mzima? Kuwa straight tujue jinsi gani tukusaidiaje otherwise utabaki kulalamika tuu!
elimu yang ni chuo.lakin nahtaj kaz yoyote hata ya kuuza duka au restaurant.au kazi yoyote halali ndug yang.maisha yang ni magum sana.