Jamani kazi kazi!.

Wonder

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
166
Reaction score
47
Husika na kichwa cha habari hapo juu.Natafuta kazi nimemaliza degree ya Kiswahili linguistics,hata kwenye ufundishaji wa kiswahili pia,asante!.
 
Kwa mtindo huu Taifa litaendelea kudidimia
 
umeonaee sa ha2na namna nyngne 2fanyaje sa,ndicho kilichobak.
 
Ukitaka kazi zipatikane mwaka 2015 hakikisha wewe na wenzio mnafanya maamuzi mazuri maana ccm wameshindwa kusimamia hili! Hata zile kazi chache zilizopo wanafanya wahindi na wachina! Serikari ya JK ipo tu! Matangazo ya kazi cku hizi yanaandika bila hata aibu 'preferably an Asian'! Kweli? Yaani tupo tanzania harafu mwajiri anatafuta mhindi!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…