Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,079
Amechokaje kukumbatia midoli!!
hebu kamata fursa chap chap, nani kasema senior expert members wote tunamilikiwa!
sifa za anaetafutwa
1. asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu.
2 amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani
3. anizidi kipato, usiogope sana, mkoloni wangu baba yake mchaga mama yake muhindi.
4. anizidi urefu
5. anizidi umri............. tafwadhali usiwe kibabu
6 asiwe na pozi, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na mbwembwe
Maombi yako yaambatane na maelezo ya kujitosheleza, kucheki afya muhimu. nipo serious msilete utani. uwiiiiii usingle girl unaniua.
Kwenye PM nimesha kutumia CV yangu, birth certificate, copy ya vyeti vyangu vya taaluma, bank statement, salary slip za miezi sita nyuma, copy ya hati zangu za nyumba, barua ya afisa mtendaji kata na medical examination report ili kukutoa shaka kabisa juu ya status yangu ya afya
ningeomba ila nawanwasi na G.P.A yako huenda ikawa ipi chin ya 4.0, mi nilishajiwekea msimamo wang kuwa sioi mwanamke mwenye wastan wa hiyo G.P.A naogopa product zang (watoto wasijekuwa vilaza. Mi nina 4.6 from UDSM.
Swali la pili vip uwezo wa familia yenu ,kuna aliyewahi kumiliki vogue/hummer..hii ni kuanzia kwa mjomba na shngzi inclsive.
Kwenye PM nimesha kutumia CV yangu, birth certificate, copy ya vyeti vyangu vya taaluma, bank statement, salary slip za miezi sita nyuma, copy ya hati zangu za nyumba, barua ya afisa mtendaji kata na medical examination report ili kukutoa shaka kabisa juu ya status yangu ya afya
Hapo kwenye rangi ndio kigezo muhimu kuliko vyote Kule kwetu,ng'ombe wataachiwa watoke wenyewe zizini Bila kuhesabiwa!!!Husninyo nakuita dear! Ebu Jaribu kuongea na wifi yako Ennie akupe wasifu wangu Kua Mimi ndio tajiri Wa mang'ombe Gamboshi nzima! Au ongea na Shemeji yako Baba Paroko Mkuu Wa maparoko wote Duniani Eiyer akupe zangu kidogo! Maana ukiwasikiliza kina mwallu na miss neddy utaona wananipendelea sn!
Na Mimi nashariti Moja tu! Husninyo mbali ya wasifu wako wote Ulo eleza rangi yako hujaisema! We ni Mweupe?
mimi sijui ntafikiriwa nimemaliza chuo juzuu zote,hiyo ni equivalent na phd ya caanon.shosti hebu niangalizie kwenye pm yako kama hizo docs za bujibuji zimekuja kwako. Huku kwangu sizioni
Heee heee heeee!! mapenzi hayaangalii elimu, kimo, pesa... waweza mpata mwenye sifa zako na akakufanya uchoke kumkumbatia... kheri ya mdoli
And what do you mean by thatat every place i see your step..
And what do you mean by that
besti acha nikutaftie shemeg. Hii fursa haikuhusu. Lol