jamani hii tabia mpya

Inosent

Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
18
Reaction score
1
watanzania tunakoelekea sio kuzuri,juzi niliomba kazi kwenye ampuni ya wa Swedish cha kushangaza nikatumiwa messege na mtu nisie mfahamu tena akataja jina la ile kampuni niliyo omba kazi,akanza kwa kujitambulisha mimi nipo kwenye mkutano tupo kwenye mchakato wa kupitia cv zenu lakini wewe unauwezekano wa kuchaguliwa cha kufanya mshahara ni million 1 moja,akaanza kutaja masharti kwamba nitakapo anza kazi kwa mwenzi ule wa kwanza nitampa laki tatu.cha kushangaza ananiambia ni mtumie elfu arubaini kwanza ili afnye mchakato wakati hata sijapata simu ya kwenda kwenye interview............jamani waogopeni hawa ni matapeli hawa nikama hackers wana hack website za kampuni
 
Mi naona suluhu la waganga njaa kama hawa ni kuwaripoti polisi manake wapo wengi sana na wamezoea kula juu ya migongo ya wenzao..
 
tatizo viweb vinavyotumiwa kutoa nafasi za kazi vingine vya kihuni afu vinafanya ujanja ujanja kutaka kuwaibia watu pesa, jamani tusiwe rahisi kutoa pesa ili tupate kitu ambacho tunastahili kukipata free. njaa inaweza kukupeleka pabaya hat hicho kidogo ulicho nacho kikachukuliwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…