Jamani hata wenye shule

Monica234

Member
Joined
May 9, 2018
Posts
11
Reaction score
10
Mimi nina diploma ya Library na record, hata kama shule yako haina library naweza nkakuanzishia library kwa ajiri ya wanafunzi kuazima vitabu au kujisomea ,pia kwa upande wa record management pia natafuta kazi nisaidieni.
 
Embu fungua hiyo link nimeona kazi yako hapo ....

Goodluck....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…