Jamani Hali mbaya... msaada wa haraka unahitajika

baada ya kumkimbilia Mungu wakati huu ulionao, wewe unawaza mibangi na pombe. Mungu akurehemu.
 

mi mgeni humu jf, nina kama miezi 3, naanza kupata picha kwa mbali, humu tunajifunza toka kwa watu mbali mbali, wakiwemo na wanao stahili kuwa mirembe!!
 
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu njoo huku kuna majeruhi wenuu! Msaaaada tafadhari!
 
Hakungekuwa na ubaya kama ukivitumia kwa siri saana. Ujue hivyo vyote ni vitu ADIMU saana haviuzwi hadharani wala havitumiwi hadharani. Mfano; huwezi kuingia navyo hata vikiwa mfukoni; Huwezi ingia navyo masjid au church. Hata kama ustaadh hayupo au Pastor hayupu. Ile nyumba yenyewe inavitishia nyau vitu hivyo.
Sasa kama ndo hivyo, yakhee tukuambie nini tena bali kukuambia, usiviguse kwani njagu akikubamba tu, Segerea uwe umesha peleka ombi la kirago kwa mamiaka. Sa yote hayo ni ya nini?? Pandisha munkari lakini kwa akili.
 

Ve Umsubaifu.
 

sasa mwanaume ukipoteza mawazo si ndio utaolewa sheikh!
 

Hivyo we piga tu! na ukiona bado unawazawaza, pitia ubanda kwa mama muuza hapo ndio itakua shwaari kabisa.
 

Haileti suluhu ya tatzo, hebu be strong na face tatzo ukiwa na akili zako timamu.
Utatumia vilevi vyote vikiisha kichwani mawazo yatarudi tena, tafuta suluhu ya kudumu
 

Toka shetani katika jina la yesu anathaleti aliye hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…