Mzee kanunue uwatu kwenye duka la dawa za kisuna.
Upate maziwa fresh, na tende zile kavu.
Utakuwa una weka uwatu vijiko 2, katika kikombe Cha maziwa kisicho na sukari.
Kisha una kunywa maziwa ndo uke tende witiri(3-5, ).
Kuanzia wiki 1, Hadi wiki 2, Jitahidi usi fanye tendo Kwa muda huo.
Hakikisha una kula matunda kila mchana na jioni.
-tikiti kipande Kikubwa.
-ndizi zilizo iva 2, parachichi kipande, karoti 1 mzima.
Kuna chai ya tangawizi na kitunguu swaumu.
Tangawizi mzima na kitunguu swaumu punje 6.
Asubui na jioni.
Utapona kabisa.