JAMAN TUKUMBUKANE YAN ATA KUKUU??

Big man

Senior Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
128
Reaction score
14
Nduguazangu waismu mi silagisana,
Kama Idd ni leo,kesho na keshokutwa mbona sikuzotetatu mimi sijaalikwa??
Mcniogope jaman mi baathi ya vyakula vyangu ntakuja navyo mfa ndizi mbivu, limao namji kwaajili ya kunawamikono kwaiyo cna gharama kubwa sana, msiulize kuhusu uzoefu nnauwezo wakuhudhuria mialiko mi5 nayote sita waangusha kwan kwakila mualiko1 napiga plet 3pilau na2 zawali nacoka3kama kutakua na juis ntakunywa kidogosana glas1kwa kila pleat
Asanten awasubiria nduguzangu
 
Uchafu km unaruhisiwaje jukwaani moderator?
Jf inashuka hadhi yake maradufu
 
Karibu kwangu Mkuu....!
Ila usisahau kuja na Dada yako kipenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…