Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,690
- 140,373
Inabidi waanzishe hata utaratibu wa kuripoti kazini uwe wa ki-electronic. Wafanyakazi wawe.na kadi na itumiwe wakati wa kuingia na.kila.mtumishi anapotoka.
Unazungumzia Biometric signature! Pole! IT tushafanya yetu!
Una maana tayari inatumika huko halmashauri?
Hizo machine zinachakachulika
Nasubiria ziara ya kushtukizia ya nape!
Ovaaaa
Aanze na simba sc