Kazakh destroyer JF-Expert Member Joined Nov 16, 2017 Posts 3,993 Reaction score 8,179 Jan 11, 2023 #41 wa stendi said: Hilo la kuogelea fulani likijaa maji unakaa huko kinaonekana kichwa tuu mnakaa na mwenzako huko kurushiana rushiana maji hadi mtakapochoka ndio mnayoka huko sasa yaani ukiwa nalo unapunguza pungusa msongo wa mawazo Click to expand... Hahaha ni sawa ila mbona dogo sana au picha maana ushamba huu.
wa stendi said: Hilo la kuogelea fulani likijaa maji unakaa huko kinaonekana kichwa tuu mnakaa na mwenzako huko kurushiana rushiana maji hadi mtakapochoka ndio mnayoka huko sasa yaani ukiwa nalo unapunguza pungusa msongo wa mawazo Click to expand... Hahaha ni sawa ila mbona dogo sana au picha maana ushamba huu.
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,589 Jan 11, 2023 #42 aiseee mkuu nikushauri ungeweka tangazo lako kwenye kupatana lingeshanunuliwa mapema sana ila usihofu litatoka tu
aiseee mkuu nikushauri ungeweka tangazo lako kwenye kupatana lingeshanunuliwa mapema sana ila usihofu litatoka tu
J Jlogy New Member Joined Jun 5, 2019 Posts 1 Reaction score 0 Jan 15, 2023 #43 Village-in said: Wakuu samahani nina Jacuuz jipya naliuza kwa milioni 2 tu. Naliuza ksbb kwangu kuna changamoto ya maji moto. Karibu. View attachment 2475612View attachment 2475615View attachment 2475616 Click to expand... Uko sehem gani tuongee hii biashara
Village-in said: Wakuu samahani nina Jacuuz jipya naliuza kwa milioni 2 tu. Naliuza ksbb kwangu kuna changamoto ya maji moto. Karibu. View attachment 2475612View attachment 2475615View attachment 2475616 Click to expand... Uko sehem gani tuongee hii biashara
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Jan 15, 2023 #44 Spark said: Lina tv ndan? Hivi 2mil.mnaichukuliaje lkn? Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app Click to expand... TAFUTA HELA,
Spark said: Lina tv ndan? Hivi 2mil.mnaichukuliaje lkn? Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app Click to expand... TAFUTA HELA,
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,008 Reaction score 28,342 Jan 15, 2023 #45 Tyrex said: Anadhan watu watoto wakat stains za maji zinaonekana Click to expand... Hapo sasa
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,008 Reaction score 28,342 Jan 15, 2023 #46 Kazakh destroyer said: Hahaha ni sawa ila mbona dogo sana au picha maana ushamba huu. Click to expand... Ni kubwa likijaa maji yanakaribia lita 60 au 80
Kazakh destroyer said: Hahaha ni sawa ila mbona dogo sana au picha maana ushamba huu. Click to expand... Ni kubwa likijaa maji yanakaribia lita 60 au 80
Kazakh destroyer JF-Expert Member Joined Nov 16, 2017 Posts 3,993 Reaction score 8,179 Jan 15, 2023 #47 wa stendi said: Ni kubwa likijaa maji yanakaribia lita 60 au 80 Click to expand... Hapa sawa mkuu.
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,710 Jan 15, 2023 #48 Dogo hilo
Mnyiramba JF-Expert Member Joined Jun 19, 2022 Posts 1,202 Reaction score 3,281 Jan 15, 2023 #49 Chukua laki 5 na Elfu tatu ya usumbufu ,nitumie Singida nitalibadilisha matumizi