Halijaogewa hata mara moja. Maji niliyotegemea kuyaingiza humo yakawa hayatoshi kulijaza kwa wakati mmoja. Nilifunga sorah heter ndio nilitegemea ijaze maji ya moto. Sasa mtungi wake ni mdogo,ikipasha maji kwa mara moja kimtungi mpaka kupasha mengine inachukua muda. Kwa hiyo ili kulijaza Jacuuz inatakiwa kupasha hata mara 6,7,inaweza kuchukua siku 3. Ndio changamoto iliyonifanya nisilitumie. Labda ukiniambia kutolewa kwenye box na kufungwa tayari limeondolewa upya.
Ok. Kwa hiyo kama saa hizi asubuhi,kawaida yangu nawahi mazoezi ya saa 1½ daily. Naweza kuoga maji ya baridi kawaida bila ice ikasaidia pia kupooza kama ulivyosema?.Fanya cold bath! 🤣🤣🤣
Weka ice uwe unakoga kila siku asubuhi...
Inasaidia ku-activate dopamine and dopaminergic receptors, ina-slow heart beats, ina-burn fat....
Sababu tu ya picha labda. Lakini ukiliona moja kwa moja utaona halina hata chembe ya kutu. Liliwekwa maji ya baridi siku ya kwanza kuona utendaji wake hasa mafundi.Huoni hizo accessories zina matabaka ya chumvi ngumu iliyopo kwenye maji?
Ndio hilo limeniangusha mkuu.Umefunga Solar Heater ya ujazo gani?
Na hilo jaccuzi lako lina ujazo kiasi gani?
Sisi wabongo huwa hatuna plan kabisa kwenye ujenzi, vitu vingi watu hutegemea akili na plans za mafundi...
Dude kama hilo kwanza linahitaji uwepo wa maji yenye pressure, na sia ajabu kwako huna hata pressure pump pindi maji ya idara yakikata...
Hayo matatizo yote bado unamsogezea mtu kwa 2m. Pole brotherHalijaogewa hata mara moja. Maji niliyotegemea kuyaingiza humo yakawa hayatoshi kulijaza kwa wakati mmoja. Nilifunga sorah heter ndio nilitegemea ijaze maji ya moto. Sasa mtungi wake ni mdogo,ikipasha maji kwa mara moja kimtungi mpaka kupasha mengine inachukua muda. Kwa hiyo ili kulijaza Jacuuz inatakiwa kupasha hata mara 6,7,inaweza kuchukua siku 3. Ndio changamoto iliyonifanya nisilitumie. Labda ukiniambia kutolewa kwenye box na kufungwa tayari limeondolewa upya.
Yeaah.... Ukitoa kwenye box ukafunga tayari limeshakuwa used. Bei yake itashuka.Halijaogewa hata mara moja. Maji niliyotegemea kuyaingiza humo yakawa hayatoshi kulijaza kwa wakati mmoja. Nilifunga sorah heter ndio nilitegemea ijaze maji ya moto. Sasa mtungi wake ni mdogo,ikipasha maji kwa mara moja kimtungi mpaka kupasha mengine inachukua muda. Kwa hiyo ili kulijaza Jacuuz inatakiwa kupasha hata mara 6,7,inaweza kuchukua siku 3. Ndio changamoto iliyonifanya nisilitumie. Labda ukiniambia kutolewa kwenye box na kufungwa tayari limeondolewa upya.
Ok. Kwa hiyo kama saa hizi asubuhi,kawaida yangu nawahi mazoezi ya saa 1½ daily. Naweza kuoga maji ya baridi kawaida bila ice ikasaidia pia kupooza kama ulivyosema?.
Kumbuka tunashauriwa pia kuoga ya moto ukitoka mazoezi,ksbb mwili unakuwa na joto usiupooze ghafla. Vipi hapo mkuu?
Wewe umeona nimeweka bei ya dukani mkuu? Au umekimbilia tu?. Hiyo dukani ni milioni 3,5000,000. Kwa sasa inaweza kufika mpaka 3.6,7+. Mimi nimekuambia milioni 2 tu au kwako bado haijashuka?Yeaah.... Ukitoa kwenye box ukafunga tayari limeshakuwa used. Bei yake itashuka.
Matatizo yepi? Hebu yaweke wazi hapa hayo matatizo. Labda uniambie matatizo yako wewe kwamba huna hela mkuu. Na siliuzi chini ya hapo. Muda si mrefu nitakuletea mrejesho kwamba tayariHayo matatizo yote bado unamsogezea mtu kwa 2m. Pole brother
Basi Mkuu, basi....tusigombane sisi sote ndugu moja. Sawa eeeeeh.... Tusameheane please.... Usikwazike hivyo. Daaahh....sikujua ungedhabika hivyo.Wewe umeona nimeweka bei ya dukani mkuu? Au umekimbilia tu?. Hiyo dukani ni milioni 3,5000,000. Kwa sasa inaweza kufika mpaka 3.6,7+. Mimi nimekuambia milioni 2 tu au kwako bado haijashuka?
Anakatia humo humo ndani tu haina shida kabisaHmmm kwaiyo jojina akitaka kukata gogo apo anakatia wapi
Mkuu hili jacuuzi Ni used usidanganye watu kabsaWakuu samahani nina Jacuuz jipya naliuza kwa milioni 2 tu.
Naliuza ksbb kwangu kuna changamoto ya maji moto.
Karibu.
View attachment 2475612View attachment 2475615View attachment 2475616
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji22][emoji1787]km mia mbili mkuu....
SawaMkuu hili jacuuzi Ni used usidanganye watu kabsa
Hivi hapa unaogaje? na hii miguu naingiaje hapo mbona ntajikunja kama foetus? acheni tu niendelee kujimwagia kwa hii ndoo yangu ya njano.
Umefunga Solar Heater ya ujazo gani?
Na hilo jaccuzi lako lina ujazo kiasi gani?
Sisi wabongo huwa hatuna plan kabisa kwenye ujenzi, vitu vingi watu hutegemea akili na plans za mafundi...
Dude kama hilo kwanza linahitaji uwepo wa maji yenye pressure, na sia ajabu kwako huna hata pressure pump pindi maji ya idara yakikata...
Anakatia humo humo ndani tu haina shida kabisa
Mkuu hili jacuuzi Ni used usidanganye watu kabsa
Anadhan watu watoto wakat stains za maji zinaonekanaAtakua kalifunga limekaa mda bila kutumika hadi cock zimepiga rast balaa.