Ivi bekitatu wanani jamani?

Inasikitisha sana pale akili ya mtu mzima inapoishia hapo.

Hivyo unajiona umemkomoa mie nikwambie tu mbali na yote unayoyasifia kwa upande mwingine umejidharaulisha.
Amemuiga baba yetu wa imaan 'Abraham'
 
Mungu aniepushe na balaa LA namna hili...so disgust
 
Mambo ya nabii tito
 
Inasikitisha sana pale akili ya mtu mzima inapoishia hapo.

Hivyo unajiona umemkomoa mie nikwambie tu mbali na yote unayoyasifia kwa upande mwingine umejidharaulisha.
Mwanaume ndiyo heshima yake inaanzia huko..!
 
Hii story ina element za "uchochezi"....kuhamasisha ambao hawajala beki 3 wafanye hivyo...nawatahafharisha, wawe na tahadhari na mambo haya
...Kama beki 3 ana HIV utapata HIV wewe na mkeo na watoto wako Wa kiume humo ndani ( bila kujali umri wao) ! Maana uwezekano ni mkubwa sana kama beki 3 amekuwa mrahisi kwako (baba Wa nyumba) basi uwe na uhakika hata watoto wako wa kiume wakiomba mzigo watapewa! Alamsiki
 
Mabeki tatu watamu kwakuwa hawatumiki sana unakuta ina sifa zote za mwanamke
 
kwani alishaanza kutoa kale ka harufu kwamba sasa mzigo unatakiwa ku upgrade? kama ni hivyo haina shida
Wewe mkongwe lazima hawa vijana siku hizi hawajui hiyo kitu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…