Ivi bekitatu wanani jamani?

Badilishaneni na wake zenu pia..itapendeza zaidi
 
Mkikia mtaacha.
 
Hakuna beki tatu tasa. Ni walahisi wa kushika mimba
 
Umetoroka shule au unamiliki simu shuleni kinyume cha sheria?....
 
Nyie vichwa nazi asee!
Si ajabu mtatafuniana wake mkimaliza wake mtatafuniana na watoto..
 
NDUGU YANGU, HV KWELI WEWE UNA MKE? HUU UANDISH NI WA VIJANA WAHUNI WASIOJTAMBUA.
 
wee ni punguwani aisee, jitathmini kwanza maan unakuwa kuelekea down
 
Kwa nini umtafune beki tatu ? Shamba boy akitafuna mkeo utajisikiaje? Au ndio mkuki kwa nguruwe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…