Lyokambako
Member
- Jan 24, 2017
- 95
- 119
Umenikumbusha mzee mmoja alikuwa anapiga bakora miaka hiyo. Alijulikana kama Alinali kama sikosei.Uganga south africa naskia ni dili sana..sasa sijui hawa wenzetu wanaimani gani..ndio maana hata kwa TB Joshua walikufa wengi sana. Sisi kule kwetu nyanda za juu kusini wazee wengi walikua wanapiga hizo dili wanakuja na Mercedes, BMW za maana miaka hiyo ya 1990's na watoto wao karibu wote wakaanza safari za huko kwa dili hizohizo. Japo wengi wameshakufa saa hizi hata madogo tuliosoma nao. Katavi shahidi maana wengi tulisoma nao na tulivyomaliza STD 7 wengi hawakuendelea na shule wakajiingiza kwenye hizo dili za ujanja ujanja na utapeli
Hahahaah kumbe dogo una kumbukumbu, enzi hizo Mercedes benz zinakatiza mitaani na muziki mkubwa, wakati sisi tumezoea Landrover 105, tena hizo za viongozi wa serikali au toyota stout.Uganga south africa naskia ni dili sana..sasa sijui hawa wenzetu wanaimani gani..ndio maana hata kwa TB Joshua walikufa wengi sana. Sisi kule kwetu nyanda za juu kusini wazee wengi walikua wanapiga hizo dili wanakuja na Mercedes, BMW za maana miaka hiyo ya 1990's na watoto wao karibu wote wakaanza safari za huko kwa dili hizohizo. Japo wengi wameshakufa saa hizi hata madogo tuliosoma nao. Katavi shahidi maana wengi tulisoma nao na tulivyomaliza STD 7 wengi hawakuendelea na shule wakajiingiza kwenye hizo dili za ujanja ujanja na utapeli
Siku hizi hakuna janjajanjaUganga south africa naskia ni dili sana..sasa sijui hawa wenzetu wanaimani gani..ndio maana hata kwa TB Joshua walikufa wengi sana. Sisi kule kwetu nyanda za juu kusini wazee wengi walikua wanapiga hizo dili wanakuja na Mercedes, BMW za maana miaka hiyo ya 1990's na watoto wao karibu wote wakaanza safari za huko kwa dili hizohizo. Japo wengi wameshakufa saa hizi hata madogo tuliosoma nao. Katavi shahidi maana wengi tulisoma nao na tulivyomaliza STD 7 wengi hawakuendelea na shule wakajiingiza kwenye hizo dili za ujanja ujanja na utapeli
Siku hizi hakuna loohWa South wanaamini sana ushirikina na wanapigwa sana