A.B.kidiku
Member
- May 30, 2015
- 28
- 4
Wanaonyesha kutia nia kwa wagombea wa CCM na kutukanana wao kwa wao, ...unakumbuka waliitana vibaka nk...wadau kwa alye tazama taarfa ya habar ya saa mbil hebu tujiulize itv walimaanisha nini kuchora wagombea wawil wa ccm wakiwa kwenye chombo kimoja na bado wanaonyesheana vdole ishara ya kutukanana halaf hapohapo akawepo mgombea wa ukawa akiwa ameketi vzuri kwenye kiti na ameshika kalamu na daftar kias kwamba alkua anaandka wanayotukanana?
ngereja...foreni....duu
It is true, kama nchi yetu ingekuwa inaendeshwa na utawala bora wa kikwelikweli na kuendeshwa kwa rule of law ya uhalisia, na siyo ya kuwafanya wengine kuwa above law, almost 90% ya watia nia ya Urais wa Sisiem walikuwa supposed kuwa Segerea badala ya kuwa uraiani wakitamba na kufanya kufuru za kuspent mabilioni ya shilingi kwa ajili ya safari zao za 'matumaini' kama alivyobainisha Profesa Lipumba.kuna watu saa hizi walitakiwa wawe gerezani leo wanagombea urais ajabu__ lipumba
wadau kwa alye tazama taarfa ya habar ya saa mbil hebu tujiulize itv walimaanisha nini kuchora wagombea wawil wa ccm wakiwa kwenye chombo kimoja na bado wanaonyesheana vdole ishara ya kutukanana halaf hapohapo akawepo mgombea wa ukawa akiwa ameketi vzuri kwenye kiti na ameshika kalamu na daftar kias kwamba alkua anaandka wanayotukanana?
Ilimaanisha ccm ni chama kimoja lakini wanazozana wao kwa wao..wakati huo ukawa badala wafanye kazi wao wanasikiliza na kuyaandika wanayoyaongea ccm
Utafanyia kazi kile ulicho sikiliza ndio maana una mdomo mmoja na masikio mawili. SIKIA ZAIDI ONGEA KIDOGO
Wanaonyesha kutia nia kwa wagombea wa CCM na kutukanana wao kwa wao, ...unakumbuka waliitana vibaka nk...
Kazi kweli kweli!,mwaka huu tutayaona na kuyasikia mengi,sisi yetu ni macho.
Sio yetu macho sema yetu maamuzi hapo oct