Basi itakuwa umetoka ukoo moja na kakako Bashite. Mwenzako ndiye aliyeibuka na hilo la snow na 'western countries' na mimi hapo kwenye comment yangu nilikuwa namshangaa. Kilimanjaro haipo huko western hata na RSA pia kuna sehemu ambazo snow huwa inapatikana mara kwa mara.