Today nimejikuta nimemkumbuka mtu aliyenitumiaga huu wimbo mwaka jana. Leo tangu asubuhi nimekuwa nikiusikiliza kupunguza mawazo huko uliko Chotta Matte..........!! Sayonara. Naupenda wimbo huu kwa ajili yake.
Hii inanisaidia kupunguza yaliyo moyoni mwangu maana siwezi mwambia mtu mwingine yeyote, good day pple and enjoy the video!!