Ninayo mr. Nime-extract firmware lkn imeniomba password.Simu kama iyo unayo???wapi kumewekwa bei mkuu
Uzi wako inabidi upeleke jukwaa la biashara. Jukwaa la tech ni burenichek whatspp 0657124173. nikupe password
kumbe biashara!!nichek whatspp 0657124173. nikupe password
hpn mkuu
mkuu wapi nilipoandika bei????kuandk unitafute aina maana kwmba naitaji pesaKm siyo biashara. Tupe password
Na Mungu atakubariki. Kuna wakati unajizibia ridhiki ww mwenyew. Ww kila kitu hela.
Watu wenyew roho nzuri wametengeza sotware buree km Splash tool, upgrade n.k halafu sasa kuonesha wao wana roho nzuri zaidi wamecrack miracle box, nck, avangers n.k ili kuwapa watu wasiokuwa na uwezo na zote zinapatikana bureeee ni ww na bundle lako tu lkn miafrika hiyo hiyo crack inayotolewa bure yy anauza.
Ndiyo maana wafrika kwenye masuala ya tech tupo nyuma sana tena sana.
Maelezo ya kuflash yamekamilika. Sasa hapo unaposema tukutafute ndiyo hela yenyew na file umeweka password. Unategemea mtu akutafute umpe password bila kumtoa hela?mkuu wapi nilipoandika bei????kuandk unitafute aina maana kwmba naitaji pesa