Troubleshooter
Senior Member
- Mar 30, 2016
- 130
- 151
Pa1Habari wakuu, hopefully mko vizuri na mnaendelea na michakariko ya maisha sehemu mbalimbali za nchi yetu mkilisukuma gurudumu lamaendeleo.
Mimi ni kijana mwenzenu ninaye tafuta ajira. nina degree ya Computer Science kutoka udsm, nimesha wahi kuajiriwa kama ICT officer kwenye institution kadhaa pia nimesha wahi kuwa trainer wa ICT courses hivyo nina experience ya kutosha.
Ninaomba kwa mdau yoyote ambaye anaweza kunipa mwanga aukunionyesha njia ya ajira katika kada yangu kwenye ofisi zozote nitashukuru sana. Kwani kwa sasa sina ajira na nimejaribu kutafuta bila mafanikio
Natanguliza shukrani na naamini hakuna kitakacho shindikana.
Ahsante
Thanx, ofisi zao ziko wapi mkuuJaribu kutembelea ofisi za KK Security au WORRIOR security kuna kipindi walikuwa wanahitaji watu wa kada hiyo..
Jaribu kusearch mtandaoni then utakuta contact zao.Thanx, ofisi zao ziko wapi mkuu
Nenda kampuni moja ya mhindi iko Kamata inaitwa Computer Sales n Services, CSS hutokosa kazi paleHabari wakuu, hopefully mko vizuri na mnaendelea na michakariko ya maisha sehemu mbalimbali za nchi yetu mkilisukuma gurudumu lamaendeleo.