mbona nafasi za kazi zimetoka jeshi la polisi, kwa maelezo mazuri tembelea websit yao. OVER🙂
Mkuu kwa kifupi sana fani yako ni ya kujiajiri tu yan..mim sijapiga IT, ila kama PC unayo iko vizuri yani specifications za kutosha kwa nin usijaribu kutengeneza software project management? design website za watu kama unaziona zina poor quality, huko kwenye programming language ndo kabisa buni tu kitu..sometimes resources tunazo lakini tunazikalia tu, jaribu kwenda sehemu inaitwa KINu..kinuvation igoogle kama vipi ipo hapa bongo..watu wa IT kibao, internet access ya bure...fikiria nje ya box mkuu..sehemu hiyo itakupa mawazo na kukufanya ukutane na wadau kibao..tu..ni ushauri tu..huo..!!!Habari wana jf wenzangu!, mtaani kunachosha na mtaji hatuna!! Nimeshaandika barua nyingi sana na CV lakini majibu hamna, Kwahiyo nawasilisha kwenu kama kuna mtu au kampuni inahitaji mfanya kazi anaeshuhulika na maswala ya IT Nipo tayari kwenda popote ndani ya TZ.
Elimu yangu Degree ya kwanza yaani Bachelor of Science in Information Technology.
Ninauzoefu ktk maeneo haya:
Nipo dar now. NAMBA YANGGU YA SIM 0682727530. Naombeni msaada wa ushauri au michongo ya kazi.
- Website designing using Computer Programming Languages like php, HTML, JavaScript, CSS and Using Data handling and management Skills.
- Proficient in Microsoft Word, Excel, PowerPoint, Web design, Database development, Visual Basic .
- Customer Care and Relation Skills include interacting, handling complaints as well as listening.
- Networking Administration Skills: Including LAN, WAN, WLAN and others related knowledge. Available
- Software project management and requirements documentations Skills
- Databases Management Systems Skills and Knowledge includes Mysql, Oracle, SQL and MS Access
- System Administration Skills; include Linux OS and Windows OS
- Basic Computer Applications; like Microsoft Office, Internet and others
- Ability to teach, train and guide others on computer basics.
- Technically competent to troubleshoot errors or malfunctioning and to upgrade the systems regularly
Tusaidiane jamani!!!!!!!.
Natanguliza shukrani Zangu za thati kwenu.
Pia heshima iwe mbele.
Achana na kazi kwanza tafuta certifications kama Oracle,Cisco au programmining languagea yoyote au security certifications ambazo zita kutambulisha kwenye soko.
Achana na kazi kwanza tafuta certifications kama Oracle,Cisco au programmining languagea yoyote au security certifications ambazo zita kutambulisha kwenye soko.
Mkuu kwa kifupi sana fani yako ni ya kujiajiri tu yan..mim sijapiga IT, ila kama PC unayo iko vizuri yani specifications za kutosha kwa nin usijaribu kutengeneza software project management? design website za watu kama unaziona zina poor quality, huko kwenye programming language ndo kabisa buni tu kitu..sometimes resources tunazo lakini tunazikalia tu, jaribu kwenda sehemu inaitwa KINu..kinuvation igoogle kama vipi ipo hapa bongo..watu wa IT kibao, internet access ya bure...fikiria nje ya box mkuu..sehemu hiyo itakupa mawazo na kukufanya ukutane na wadau kibao..tu..ni ushauri tu..huo..!!!
Asante sana mkuu kwa kunielewa, hakuna mtu asiotaka kujiendeleza kielim lakini utasoma atakulipia nani? ukweli mie nimesoma kwa kulipiwa na board ya mikopo (boom), wazazi wangu wamefaliki kitambo tu mama wakati nipo lasaba farther form five kwahiyo niliyumba sana ki maendeleo.Certification kuna sehemu zinatafutwa na then zinaokotwa tu,yumukini hata yeye anatamani kuwa na hizo certification lakini hana hela ya kulipia madarasa yake.So the best ushauri ni kumsaidia kutafuta kazi then ajishazichanga ndiyo ataenda darasani.Hivi wewe ulivomaliza chuo moja kwa moja uliunganisha kutafuta hizo kozi za microsoft certified ama kwanza ulianza kutafuta kibarua.Kama uliunganisha basi mambo yako ama wazazi wako ama ulippata mwezeshaji