nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
Yamekuwa haya tena? Kisa Kilomoni na Bi Hindu.Safari tumewaachia watani zetu.
Wasajiri wachezaji wazuri.
Sisi tunavuta pumzi kwanza
AiseeeeTatizo limeanzia Kwa manara kuanza kutoka kimapenzi na Hamisa mobeto
Nikiwa kama shabiki wa simba niliadhani tupo serious kwenye kuimairisha ulinzi wa team kumbe mafyongo tu,ni dhahiri James kotei hana ma godfather klabuni au kakataa kukata fungu kubwa kwenye usajili maana mkataba umeisha anatakiwa apewe sio chini ya milioni 80 na kuongezewa mshahara
cha kushangaza wanamuacha na kumletea mbrazil ambaye sio siri atawika mechi mbili tatu kwenye viwanja vizuri huko mikoani yeye mwenyewe ataompa poo,atapigwa misumari na kukrudi kwao kama kina jaja
Kweli mnamucha kotei ambaye alikuwa keshazoea team, na kafnya vyema? kweli jamani,siamini aisee hata danadana ya walter bwalya imenishangaza sana mwishowe tunaambiwa kuna mshambuliaji wa orlando pirates tunamgombania na Eibar ya spain,sijui kwa hela gani sasa kama milioni 800 ya bwalya ilishindikana.Kuweni serious basi kina magori
Si uliona yale mabusu aliyokuwa anapewa Babu Kilomoni na wasichana wadogo warembo waYamekuwa haya tena? Kisa Kilomoni na Bi Hindu.
Shidah kotei anaitaka kaizer chief kachoka kucheza viwanja vibovuKama ni kweli Simba ina mpango wa kumuacha James Kotei a.k.a iron man basi huu utakuwa mchemko wa mwaka zaidi ya wa mwaka ule viongozi walipoleta ujuaji kumuacha Hamis Tambwe halafu wakamleta Sserenkuma.
Tatizo limeanzia Kwa manara kuanza kutoka kimapenzi na Hamisa mobeto
In Zamu yenu sasa.Hawana fedha jamani. Wameanza kufulia baada ya Mo kutopewa Hati ya nyumba.
[emoji23][emoji23]Tatizo limeanzia Kwa manara kuanza kutoka kimapenzi na Hamisa mobeto
Nadhani tofauti ni kwamba simba ya kipindi hiko ilikuwa ni masikini jeuri, tofauti na Yanga wamekuwa wazi kuwa ombaomba na ndio maana wamewekeza kwenye kuombaomba.Si uliona yale mabusu aliyokuwa anapewa Babu Kilomoni na wasichana wadogo warembo wa
Yanga ?
Tena busu za Ndimi kwa Ndimi tena hadharani mchana kweupe...!
Hivi ulijiuliza ni kwanini ?
Si uliona Sirikali yoote ilihamia kwenye sherehe ya Bakuli Kuu.
Si uliona Serekale ilivyo hangaika kuichangia Yanga na kuwalazimisha baadhi ya matajiri waichangie ?
Si uliona Sereka hadi inatoa Ardhi yake kuipatia Yanga tena buree ?
Si uliyasikia mazungumzo ya Viongozi wa juu wa Sele siku ile kuhusiana na
Yanga ?
Hivi ushajiuliza kama kuna timu yoyote ishafanyiwa hayo mambo na
Seli ya hapa TZ ?
Unakumbuka enzi za Manji jinsi timu ya Simba ilivyokuwa choka mbaya na kuukosa ubingwa wa ligi Mara NNE mfululizo ?
Jiulize Siri ilifanya chochote kuisaidia Simba ?
Je ni kwanini ?
Hitimisho.
Kuanzia mwakani na kuendelea Yanga ndio inastahili kuwa bingwa wa Ligi ya TPL.
Ili Nchi iwe salama.
Hivyo basi Simba hatunabudi kusajiri wachezaji magalasa ili lengo litimie.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] duu ww naye kwani manara ndiyo anasajiri acha ale mautamuTatizo limeanzia Kwa manara kuanza kutoka kimapenzi na Hamisa mobeto