Tuna vyama vya wafanyakazi TUICO, CHODAWU etc...... mimi naona wapo kimya kwa hili...yaani haiwezekani. wafute sheria hizi za kijinga.. za kiukandamizi na uonevu. its against human rights... nipewe hela yangu mapema kabla sijafa.. umenifukuza kazi nina miaka 29 nitajikimu vipi, kiinua mgongo chenyewe hakitoshi... yaani unakula siku moja tu...