ACCORDING TO THEM, THIS IS THE FUTURE. Wenyewe wanakwambia "halooooooo oo! ng'ombe hazeeki maini babu, kama ukweli ndo nshakupa babu hata usipotaka utataka na ukikataa ntakupakata, ntakupa maji kwenye kata utatakata, utakuwa huna hata taka, utantaka!"