Muwe makini na magazeti ya kizushi, Neno alilotumia Khomeni ni Muhareb, kabisa halina maana ya enemy of God, hizi ni translation kwa malengo ya ku misslead watu
Kwa wale wataalam wa lugha hii linamaanisha maana mengine ambayo mambo kama hayo yakifanyika hata secular Gov nyingine pia wana execute mtu kama huyo