Iran vs USA Battle: Tupeane Updates Hapa

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,767
Reaction score
21,869
Habarini wanajf.

Ikiwa ni asubuhi murua kabisa hapa kwetu Tanzania, huko kwa wenzetu USA & Iran mambo ni moto.

Joto la msuguano liko juu sana, Muda wowote vita kamili inaweza kuanza japo hatuombei hili maana wapiganapo fahali ziumiazo ni nyasi.




UPDATES

IRAN YAPANDISHA BENDERA NYEKUNDU KUASHIRIA KISASI CHA DAMU


- Imepandisha bendera hiyo juu ya Msikiti Mtakatifu wa Jamkaran uliopo Qom, tukio linaloashiria kisasi cha damu kinakuja


- Inaelezwa hii ni mara ya kwanza kwa Iran kupandisha bendera hiyo kwani hata kwenye vita vya Iran na Iraq bendera hiyo haikupandishwa


Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
wanapigana mikwara tu wataishia kuhack websites na kurushiana makonde ya mtandaoni hakuna aliye tayari kuingia vita kamili kati yao labda wapigane proxy wars
 
"They attacked us, & we hit back. If they attack again, which I would strongly advise them not to do, we will hit them harder than they have ever been hit before!" Trump
 
Mm nasubiri vita itokee ili tupokee wakimbizi kutoka saudia ,dubai ,Qatar yaani matoto ya kiarabu ni kujichagulia tu unavutia ndani.
 
Dini nyingine za ajabu sana. Kiongozi wa Iran wa kidin Ayatollah khamenei anatangaza kwamba tutalipa kisasi, dini gani inaeneza kulipiza kisasi baada watangaze tunawageuzia shavu la kushoto watugonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bunge la Iraq leo linapiga kura ya kuviamrisha vikosi vya USA kuondoka nchini humo.

Wakati huohuo vikosi vya Iran vimetishia kushambulia vituo muhimu vya USA vilivyoko Europe.

 
wanapigana mikwara tu wataishia kuhack websites na kurushiana makonde ya mtandaoni hakuna aliye tayari kuingia vita kamili kati yao labda wapigane proxy wars
US kaua Gen wao na kakiri kuhusika, na wao Iran wajaribu kuua hata raia mmoja tu wa US alafu wakiri kuhusika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…