Si mara ya kwanza hii, kama wewe umeona leo. Iran imekwenda mbali zaidi ya hapo na kukubali kubadili tani 1200 za uraniemu iliyorutubishwa kidogo kwa tani 120 tu za Uranieme iliyorutubishwa kwa kiwango cha kati. Hii yote ili 'to build confidence' kuwa Iran hainuii kutengeneza silaha za nuklia (zinazohitajia ureniemu iliyrutubishwa kwa kiwango cha zaidi ya 90%). Matokeo yake, siku ya pili Marekani ikashawishi vikwazo zaidi vikawekwa dhidi ya Iran.
Marekani (inayotawaliwa na Israel) na West, wacheza mchezo kuonesha Iran ni wakaidi mpaka hapo watakapoishambulia. Lakini kwa Iran wamefika mwisho, Mmarekani na Waisraeli wake wakithubutu tu utaona vita ya dunia ya tatu .....na mwisho wa Marekani kama dola kuu!