ukitofautiana na us na israel kila ubaya utapewa wewe sasa huo ubaguzi wa jinsia anaofanya iran unatofauti gani na saudi arabia na pakistani au hamjackia kuna binti alipigwa risasi kudai haki ya kusoma hila hyo cyo kesi hila kwa iran mate yanawatoka maana kuvipga vinu mnaogopa mnakimbilia vita ya magazeti