Ipi bora zaidi...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
happy people niaje...heshima zenu wakuu.kuna kitu kimenigusa,ukiwa kama mzazi,baba,mama kijacho,kijana au mtu yote,kuna aina mbili za shule wote tumepitia. boarding skul na days skul.sijawai bahatika kusoma days skul kuazia lakwanza hadi chuo.je ni shule ipi inamjenga mtoto vizuri ki maadili,kimaisha,kiakili,kielimu nk.mi ntakupa sifa za boarding skul
....maisha ya boarding noma,inakujenga kutokuwa tegemezi[na maanisha kuna shuhuli ambazo ya kupasa kuzifanya,ambapo nyumbani ungefanyiwa],inampa mtu self recognaization kujitambua,kujiamini,kujitegeme japo wengi wamejifunza bange,u ma la ya, uwizi, ukorofi na ujasiri boarding skul.
 
Kwangu mie day school ndiyo ina make sense.
Coz napata muda wa kum-monitor mtoto!
 
Kwangu mie day school ndiyo ina make sense.
Coz napata muda wa kum-monitor mtoto!
ila kamanda naona wazazi wa sasa hivi mtoto la pili ati boarding skul...kisa ni international skul,alafi hizi international skul kwa maadili mabaya msiombe,kuna shule inaitwa brayburn[sijui kama nime andika sahii]ase hii shule ni nourma hivi vitoto vinakulana denda azarani,aviogopi kitu kabisa.
 
Day school muhim, mtoto akirudi shule uko nae unamfunza mengine. Mi am scared kupeleka mtt boarding school.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…