IKB Member Joined Dec 21, 2016 Posts 75 Reaction score 29 Sep 6, 2019 #1 Habari wadau, nauza Iphone x 256Gb Imetumika kama miezi mitano naiuza baada ya kununua x max, sio mbovu haina creck wala haijachunika. Bei Tsh 1.400,000 Mawasiliano +255659778873 Whatsapp +255744778873
Habari wadau, nauza Iphone x 256Gb Imetumika kama miezi mitano naiuza baada ya kununua x max, sio mbovu haina creck wala haijachunika. Bei Tsh 1.400,000 Mawasiliano +255659778873 Whatsapp +255744778873
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,508 Reaction score 203,230 Sep 6, 2019 #2 We kibabu emu pita huku Kibabu chenye pesa ndefu
flulanga JF-Expert Member Joined Jul 1, 2016 Posts 4,861 Reaction score 6,407 Sep 6, 2019 #3 Yaani unamaanisha milioni moja na laki nne (1,400,000)??
Muuza simu used JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 4,393 Reaction score 7,101 Sep 6, 2019 #4 Naona hapo mkuu umeiwaza bodaboda!hahaaa,life is not fear flulanga said: Yaani unamaanisha milioni moja na laki nne (1,400,000)?? Click to expand...
Naona hapo mkuu umeiwaza bodaboda!hahaaa,life is not fear flulanga said: Yaani unamaanisha milioni moja na laki nne (1,400,000)?? Click to expand...
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,297 Reaction score 46,755 Sep 6, 2019 #5 flulanga said: Yaani unamaanisha milioni moja na laki nne (1,400,000)?? Click to expand... Sasa ulitaka hii simu iuzwe kiasi gani??..wakati ikiwa mpya ilivyotoka ilikuwa inatembea kwa 2.7m+
flulanga said: Yaani unamaanisha milioni moja na laki nne (1,400,000)?? Click to expand... Sasa ulitaka hii simu iuzwe kiasi gani??..wakati ikiwa mpya ilivyotoka ilikuwa inatembea kwa 2.7m+
monopoly inc JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 5,243 Reaction score 11,421 Sep 6, 2019 #6 Depal said: We kibabu emu pita huku Kibabu chenye pesa ndefu Click to expand... Hata kiduku lilo anaweza kukununulia
Depal said: We kibabu emu pita huku Kibabu chenye pesa ndefu Click to expand... Hata kiduku lilo anaweza kukununulia
kisana kiki JF-Expert Member Joined Dec 24, 2016 Posts 266 Reaction score 287 Sep 6, 2019 #7 Ikifika laki 3 nishtue jamaa
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Sep 7, 2019 #8 Darmian said: Sasa ulitaka hii simu iuzwe kiasi gani??..wakati ikiwa mpya ilivyotoka ilikuwa inatembea kwa 2.7m+ Click to expand... Bei rahisi sana iyoo ..dah !!
Darmian said: Sasa ulitaka hii simu iuzwe kiasi gani??..wakati ikiwa mpya ilivyotoka ilikuwa inatembea kwa 2.7m+ Click to expand... Bei rahisi sana iyoo ..dah !!
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Sep 7, 2019 #9 Mkuu uo mzigo GB256 afu unauza bei cheee sana ..iyo 1.4 ni bei ya 8+ uko..ila kama kwa iyo bei ni sawa kwako fresh!! Utapata tu...
Mkuu uo mzigo GB256 afu unauza bei cheee sana ..iyo 1.4 ni bei ya 8+ uko..ila kama kwa iyo bei ni sawa kwako fresh!! Utapata tu...
WALDO JF-Expert Member Joined Mar 15, 2019 Posts 422 Reaction score 421 Sep 7, 2019 #10 nakupa m kamili njoo pm
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Sep 7, 2019 #11 flulanga said: Yaani unamaanisha milioni moja na laki nne (1,400,000)?? Click to expand... Iyo 1.4 ni bei ya iPhone 7+ ukiotea dukani..
flulanga said: Yaani unamaanisha milioni moja na laki nne (1,400,000)?? Click to expand... Iyo 1.4 ni bei ya iPhone 7+ ukiotea dukani..
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Sep 7, 2019 #12 Huu ni mtumba wa mtanzania ujue imekoma kwa kusuguliwa Ollachuga Oc said: Mkuu uo mzigo GB256 afu unauza bei cheee sana ..iyo 1.4 ni bei ya 8+ uko..ila kama kwa iyo bei ni sawa kwako fresh!! Utapata tu... Click to expand...
Huu ni mtumba wa mtanzania ujue imekoma kwa kusuguliwa Ollachuga Oc said: Mkuu uo mzigo GB256 afu unauza bei cheee sana ..iyo 1.4 ni bei ya 8+ uko..ila kama kwa iyo bei ni sawa kwako fresh!! Utapata tu... Click to expand...
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Sep 7, 2019 #13 Mzee kuna 700k ya haraka
Maji kupwa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2019 Posts 315 Reaction score 332 Sep 7, 2019 #14 Nakupa milion nicheki pm
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 16,064 Reaction score 18,514 Sep 7, 2019 #15 Kuna 7 cash hapa kiongozi
flulanga JF-Expert Member Joined Jul 1, 2016 Posts 4,861 Reaction score 6,407 Sep 8, 2019 #16 Darmian said: Sasa ulitaka hii simu iuzwe kiasi gani??..wakati ikiwa mpya ilivyotoka ilikuwa inatembea kwa 2.7m+ Click to expand... Hamna mkuu nilidhani labda umesahau umeongeza sifuri bahati mbaya
Darmian said: Sasa ulitaka hii simu iuzwe kiasi gani??..wakati ikiwa mpya ilivyotoka ilikuwa inatembea kwa 2.7m+ Click to expand... Hamna mkuu nilidhani labda umesahau umeongeza sifuri bahati mbaya
flulanga JF-Expert Member Joined Jul 1, 2016 Posts 4,861 Reaction score 6,407 Sep 8, 2019 #17 Muuza simu used said: Naona hapo mkuu umeiwaza bodaboda!hahaaa,life is not fear Click to expand... Umejuaje mkuu
Muuza simu used said: Naona hapo mkuu umeiwaza bodaboda!hahaaa,life is not fear Click to expand... Umejuaje mkuu