warning kwa watumiaji wa iphone na mac za apple kwani kuna script iliyoandikwa kama kiarabu ukiipata kwenye simu yako basi ita-crush. script hiyo unaweza kutumiwa kama message au kuiload kwenye browser, vibaya zaida ukitumiwa kama message kwenye simu kama iko locked basi simu yako itajizima.
kama ukifungua message na ukakuta script hiyo basi application yako ya message ita crush hivyo unashauriwa kuomba watu wakutumie message nyingi ili message hiyo iwe chini kwenye list za message ili simu isiisome.
endapo simu yako itajizima unashauriwa kurestore backup au factory reset ili kufuta message hiyo
kwa watumiaji wa mac mnashauriwa kutumia firefox kwani haitoathiri computer zenu.
Source : Techfeed