Imetumika miezi 8 tu
Ina Box&Charger yake
Rangi Gold
Battery Health 78%
Bei 770,000 kuna maoengezi pia.
Kuna cover&protector bure
na card ya warrant pia maana warrant haijaisha bado
Wakati wa mauziano tutasign makubaliano na kila mtu atakua na nakala yake
ambapo nakala zote mbili zinakua na copy ya vitambulisho viwili(Mnunuzi&Muuzaji)
Kwa Usalama na Uaminifu zaidi.
Kwa maelezo zaidi na picha zaidi 0738854581