iPhone 5 inauzwa

Ngwathra

Platinum Member
Joined
Jul 11, 2007
Posts
6,024
Reaction score
11,391
Ni nyeupe, factory unlocked, 16gb imetumika mwezi 1 tu. asking $650 negotiable pm for more info.
 
Picha tafadhali na hiyo bei weka ya kitanzania tafadhali
 
acha uwizi...... i bought i phone5 16 gb 200usd in beijing so tz haiwezi kuwa dat much and its used.View attachment 94329

Samahani mkuu, naomba uweke picha ya hiyo iphone5 yako uliyonunua dola 200 china na naomba uweke IMEI namba yake, maana naomba ni bei rahisi mno hata kama ingekuwa used, nimehamasika nami kununua, kwa hiyo bei

 
Utaendelea kuangalia bei za vitu mtandaoni ufe maskini msx ww

Nimecheki mkuu, imei number inaonesha iphone yake ni original. Ni iphone 5 white ya 16 gb, ambayo warranty yake itaisha tarehe 27 april, 2014
 
acha uwizi...... i bought i phone5 16 gb 200usd in beijing so tz haiwezi kuwa dat much and its used.View attachment 94329

Mkuu, hata kwa kuiangalia tu hiyo iPhone 5 yako naiona ni original! lakini mkuu bei ya dollar mia mbili mbona cheap sana, au inakuwa kwenye contract na network flani (locked)? Mkuu kama haitakuwa usumbufu nifanye ustaarabu nikiwa tayari nikutumie pesa uninunulie mbili, yangu na ya wife wangu mkuu! Huku used ukipata bei rahisi kuliko ni 750K!!!
Heshima Kwako
 

Kaka, iPhone ya Jorzy ni original hata ukiiangalia kwenye picha tu!!!..kuhakikisha nenda kwenye website ya apple gona IMEI yake utaiona. Kwa hiyo pesa sijui aliipataje tena mpya, nahisi itakuwa locked kwenye network flani walimuuzia kwa mkataba, la sivyo basi huko China wanauza bei nafuu sana na hawa wanaozileta wanapata SUPERPROFIT!
 
Last edited by a moderator:
Angalia usije ukaImport iPhone ya kichina kwa kuangalia tu, ni lazima uikamate kwanza uione ndo uComnfirm kama ni OG. kwenye picha hivyo utaingia chaka..linganisha na bei za kwenye Apple Stores pia!!
 
Nina samsung galaxy tab2 7.0 nataka 900,000 simu yangu 0715386011
 
Angalia usije ukaImport iPhone ya kichina kwa kuangalia tu, ni lazima uikamate kwanza uione ndo uComnfirm kama ni OG. kwenye picha hivyo utaingia chaka..linganisha na bei za kwenye Apple Stores pia!!

Ni kweli Mkuu, lakini picha aliyoweka ni ya kitu original, na IMEI pia ni ya kitu original...sema kama si mtu mwaminifu anaweza akaonesha original halafu akauza fake (kama wanavyofanya wachina flani).anyway ukiamua kufanya biashara na mtu kwenye mtandao inabidi umwamini tu...ukipoteza basi unapotezea, ni kama kutuma pesa UK kununua gari wakati muuzaji mmejuana facebook, good guys bado wapo naamini!
 
imei ukisha tumiwa unaicheki vipi tujuzane jamani tusije ingizwa mkenge ndio maana naipenda jamii forum
 
acha uwizi...... i bought i phone5 16 gb 200usd in beijing so tz haiwezi kuwa dat much and its used.View attachment 94329

Hahaaha . Bro thats copy of an i phone kwanza umeliwa dogo copy ni dola mia... The really i phone 5 its cost more than dola mia sita . Siku nyingine uliza wataalamu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…