Ndo bei chee hiyo??ukisema unauza iphone 5 ukatoa specification na bei inatosha kuliko kuongelea swala la chee afu unaleta bei za 5s regardless of iyo storage,,,bei ya 5 ya kawaida ni 420 hadi 450,,64 gb ni around 480 n ikiwa na mpya full box ndo 500 kwa mtaani,,sasa sijui yako ina specifications gani za kipekee na iyo bei chee unalinganisha na na bei za wapi