iPhone 5 32GB nataka 400000

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
5,224
Reaction score
12,622
iko vizuri
0625753365, nipo morogoro
 
150 after VAT kama upo tayar njoo Pm.
 
Wazee na Mimi Nina iPad 2 Wi-Fi almost new bei 400,000 kwa atakayeitaji aje pm tuwasiliane chaap
 
haina icloud wala haina tatizo lolote. kuna jambo tu nataka kufanya na ndio nimefikiria kuiuza inisaidie maana nimekwama.. nipo morogoro mjini
 
Sie wengine washamba ingawa uwezo wa kununua tunao tunaogopa kuuziwa pande la sabuni.
 
Sie wengine washamba ingawa uwezo wa kununua tunao tunaogopa kuuziwa pande la sabuni.
Du enzi zile aise miche iliuzw sana pale ubungo, mpk mzee wangu aliuziwa mmoja tukiwa ndani stend akinisindikiza kukwea satelite kuelekea Tanga ilikuwa miaka ya 2001 hivi, na walikuwa wajanja sana na zile bahasha zao makini.
 
haina tatizo kwa 250 hailipi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…