emilwayne JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 265 Reaction score 19 Dec 30, 2012 #1 imetumika mwezi mmja tuu ni factory unlocked bei ni laki 550,000 ina 64GB na wala haina scratch. Mawasiliano yangu 0712202032 au piga 0765508440
imetumika mwezi mmja tuu ni factory unlocked bei ni laki 550,000 ina 64GB na wala haina scratch. Mawasiliano yangu 0712202032 au piga 0765508440
Scofied JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,456 Reaction score 1,685 Dec 30, 2012 #2 mbona upatikan kwa hizo number mkuu? Me nipo arusha nahitaji hiyo ki2,vp bei inapungua?
emilwayne JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 265 Reaction score 19 Dec 30, 2012 Thread starter #3 napatikana labda mtandao.
emilwayne JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 265 Reaction score 19 Jan 4, 2013 Thread starter #4 BADO IPO wasiliana na mm kupitia namba hii 0712202032 / 0765508440
Brakelyn JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,181 Reaction score 521 Jan 5, 2013 #5 emilwayne said: imetumika mwezi mmja tuu ni factory unlocked bei ni laki 550,000 ina 64GB na wala haina scratch. Mawasiliano yangu 0712202032 au piga 0765508440 Click to expand... mkuu kabla sijanunua naomba kujua kama hiyo capacity ya 64GB imeandikwa kwenye cover ya nyuma ya simu???
emilwayne said: imetumika mwezi mmja tuu ni factory unlocked bei ni laki 550,000 ina 64GB na wala haina scratch. Mawasiliano yangu 0712202032 au piga 0765508440 Click to expand... mkuu kabla sijanunua naomba kujua kama hiyo capacity ya 64GB imeandikwa kwenye cover ya nyuma ya simu???
M makaalex Member Joined Dec 29, 2012 Posts 14 Reaction score 1 Jan 6, 2013 #6 emilwayne said: imetumika mwezi mmja tuu ni factory unlocked bei ni laki 550,000 ina 64GB na wala haina scratch. Mawasiliano yangu 0712202032 au piga 0765508440 Click to expand... naitaji iyo4s unapatikana wap?
emilwayne said: imetumika mwezi mmja tuu ni factory unlocked bei ni laki 550,000 ina 64GB na wala haina scratch. Mawasiliano yangu 0712202032 au piga 0765508440 Click to expand... naitaji iyo4s unapatikana wap?
Fasouls JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 937 Reaction score 321 Jan 6, 2013 #7 Ni yenyewe kwel? installed browser ni ya aina gan? fm radio inayo na inatumika na headphone au wi-fi? ktk iTUNE ukiifungua unakuta na general,silence? Mkuu hyo phone inaweza ikawa ni mchina
Ni yenyewe kwel? installed browser ni ya aina gan? fm radio inayo na inatumika na headphone au wi-fi? ktk iTUNE ukiifungua unakuta na general,silence? Mkuu hyo phone inaweza ikawa ni mchina
mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 291 Jan 7, 2013 #8 mkuu me wala sihitaji kupunguziwa bei, nataka kujua mzigo badoupo?
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,102 Jan 9, 2013 #9 mojoki said: mkuu me wala sihitaji kupunguziwa bei, nataka kujua mzigo badoupo? Click to expand... Ukiona kimyaa jua imesha lambwa
mojoki said: mkuu me wala sihitaji kupunguziwa bei, nataka kujua mzigo badoupo? Click to expand... Ukiona kimyaa jua imesha lambwa