M Mwevibint Member Joined Mar 15, 2013 Posts 11 Reaction score 5 Apr 10, 2013 #1 Wakuu nauza Iphone 4 na 4s zimeshatumika ila bado zipo kwenye hali nzuri. Zote ni nyeupe na zina memory ya 32GB. Bei yake ni 700,000 tu.
Wakuu nauza Iphone 4 na 4s zimeshatumika ila bado zipo kwenye hali nzuri. Zote ni nyeupe na zina memory ya 32GB. Bei yake ni 700,000 tu.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,682 Apr 10, 2013 #2 Zina antena?
GreenCity JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 5,904 Reaction score 4,666 Apr 10, 2013 #3 mkuu kwa bei hiyo, sijui! pitia na post za wauzaji waliokutangulia huenda ukapata mwanga zaidi
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,737 Reaction score 18,927 Apr 11, 2013 #4 Hizo ni kati ya 350-500 hiyo bei ni ya s3 lakini huu ni mtazamo tu haushurutishwi..!!!
Jay Wa Msimamo Member Joined Mar 11, 2013 Posts 73 Reaction score 12 Apr 11, 2013 #5 Ngoja nianze kumek mek 1000 kila day ntakuja kuchukua.
molely molly JF-Expert Member Joined Nov 28, 2011 Posts 317 Reaction score 30 Apr 11, 2013 #6 mimi ninayo lphone 4 ziko 2 ila ntauza moja kwa laki tano tu napatikana moshi 500,000/= iko in very good condition no scratch cables and everything nililetewa zawad this year
mimi ninayo lphone 4 ziko 2 ila ntauza moja kwa laki tano tu napatikana moshi 500,000/= iko in very good condition no scratch cables and everything nililetewa zawad this year
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,739 Reaction score 42,823 Apr 11, 2013 #7 Saint Ivuga said: Zina antena? Click to expand... mkuu ulipotelea wapi?