Yap ina scratch kwenye kioo ila inafanya kazi vizuri kabisa na ndo maana bei ni 300000 na bado mpya kama mtu anaitaji aweke no zake na picha ntamtumia whatsapp maana nimeshindwa upload hapa na pia nime upgrade operating ios7 saivi.

Kuna watu kibao kama wewe wananiletea Iphone wame upgrade to ios7 ...nazimelock!
Ya kwako ni sawa?
Kwanini usi repair kioo cha mbele kwa 70,0000 au cha nyuma 20,000.....uendele nayo?
:eyeroll1: