Ipad Air Inauzwa

Dodo18

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
315
Reaction score
93
Habari wana Jamii. Kama tangazo linavyosema nauza IPad yangu aina ya Apple Ipad Air 1, ni
16 GB na
inaruhusu line yoyote na ni
4G na Camera iko vizuri sana. Aliekuwa interested tuwasiliane kwenye namba hiyo hapo 0659748777. Bei yake ni 300,00 au laki tatu.
 
1. icloud address ni ya nani? Na Je una password zake ili niweke zangu?
2. Imetumika kwa muda gani?
3. Je ni yako mwenyewe?
4. Inakasoro gani?
5. Ina michubuko yoyote kwenye kioo (original kioo sio protector)

Jibu maswali hayo alafu uje haraka tufanye biashara nataka kuitumia kwa kazi za injili.
utani Tag nije haraka...
 
Akikujib nitag
 
Nami nasubiri majibu,usawa huu utoe laki3 afu kitu siku mbili kimezima hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…