Ipad 4: How to Unclock iCloud

didacusm

New Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Jaman nani anisaidie jinsi ya ku unlock icloud kwenye ipad yangu.......0655048006 kama utaweza
 
Jaman nani anisaidie jinsi ya ku unlock icloud kwenye ipad yangu.......0655048006 kama utaweza

Kama inatumia iOS kuanzia 8.0 imekula kwako.
Huyo aliekuuzia au kukupa kwambie akupe apple id na password.
 
Post kwenye magroup/website za kuuza na kununua kwamba unauze spare, maana unachotaka hakiwezekani.
 
iCloud account ni sehemu ya security,ukiniambia unamtafuta mtu wa kukufungulia account yako ya iCloud unaimanisha hiyo iPad sio ya kwako nami napata shahuku niione maana yangu iliibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…