iOS Calculator: How was i never informed about this?

Kwenye calculator ya iOS huna haja ya kurotate pindi ukikosea namba, fanya kuswipe kwenye hizo namba unazotaka kuzifuta, swipe from left to right utaona namba zinajifuta moja moja..

Take it from me.

holy cow!
 
iOS inajitosheleza kwa kila kitu, shida kubwa iliyopo kwa wengi wanayoiponda ni either hawajui kuitumia na hawataki kujifunza kuitumia au hawajawahi kuitumia kabisa na wanaiponda kwa kuisikia tu ikipondwa na wengine. Ila kiujumla ni OS inayojitosheleza kwa kila kitu.
Binafsi kwa sasa natumia Android lkn iOS naikubali sanaa, hapa najipanga nivute latest Iphone Mpyaa..sababu za Makubusho siziwezi🤣🤣
 
wenyewe califonia wanakiri hawana soko la simu africa,hii ni sawa na kusema.bidhaa hii haijawahi kuendana na mazingira yetu.

kwahiyo wanaolalamika wana hoja ya msingi maana wamezoea vitu ambavyo simu ile haikuandaliwa navyo.

bei,muingiliano,nk
 
Kweli kabisa mkuu, na wengi huku kwetu wananunua kama "Status Symbol" tu
 
Kweli kabisa mkuu, na wengi huku kwetu wananunua kama "Status Symbol" tu

Nilikua nazungumzia kuhusu kuhamia Samsung Note series kuna mtu akaniambia “ww una shida gan yaani utoke tunda uende huko” Nkamwambia napenda Note sababu ya productivity alichonijibu akaniambia kanunue pc kama unataka productivity
 
Kuna watu wapo tayari kuchukua iPhone 6s mbele ya Samsung galaxy S21
 
Kuna watu wapo tayari kuchukua iPhone 6s mbele ya Samsung galaxy S21

Kweli kabisa, sema tatizo hawako well informed hawaelewi chochote kinachoendelea kuhusu tech industry
 
Kuna watu wapo tayari kuchukua iPhone 6s mbele ya Samsung galaxy S21
ukikutana na mbuzi ya hivi ujue ni mkumbo tu unamsumbua,haangalii kipi bora hapo.

apple ni simu safi sana,ila sio kulinganisha iphone 11 kushuka chini na s21 ultra,ni kukosa akili
.

hizi simu kutoka mwaka mmoja kwenda mwingine kuna vitu vya msingi sana vinabadilika,tatizo hawapendi kukagua vitu,sijui wanakosa muda au hawavipati wakavingalia.

kuna jamaa yangu ni mwana jf sitamtaja,nadhani ni die hard fan wa apple products,juzikati alinunua iphone 12 pro max,sijui ikawaje akanunua na s 21 ultra,akashangaa.kumbe samsung wana madude makali hivi!!sasa nikabaki najiuliza,inamaa jamaa huwa ananunua simu wapi ambapo hazikuti na nyingine akague!!!au ndio wale wajuba wa kulipa na kuondoka
 
acha zako ww hamna Note 21 ultra haijatoka bado yeye kanunua wapi? either ni typing error ila sidhan kwa mtu anaefahamu vizur simu atasema Note badala ya S au isiwe na ww ndio walewale
 
acha zako ww hamna Note 21 ultra haijatoka bado yeye kanunua wapi? either ni typing error ila sidhan kwa mtu anaefahamu vizur simu atasema Note badala ya S au isiwe na ww ndio walewale
mbona unataka kupigana!!!
 
Wewe sio mtundu kwenye hizi simu. Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…